Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Jinsi muhogo unavyopandwa

Barani Afrika muhogo hupandwa sana sana katika mashamba madogo,mara kwa mara hupandwa kwa pamoja na mboga,na mimea (kama nazi,mawese na kahawa), kiazi kikuu,viazi vitamu,tikiti maji,mahindi,mpunga,njugu ama jamii za kunde zingine.Utumizi wa mbolea huwa wa chini baina ya wakulima wadogo wadogo kwa sababu ni ghali na haipatikani.Mizizi inaweza kuvunjwa baina ya miezi 6 na miaka 3 baada ya kupanda.

1.833335
Average: 1.8 (6 votes)
Your rating: None