Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Kutunza Pesa Zako

Kutunza pesa inamaanisha ukipata hundi ya mshahara unajua vile utaibadilisha iwe pesa; Jinsi utaweka salama pesa usizotumia; unalipa bili zote; ukihitaji pesa taslim jinsi utaipata; kuweka akiba na kutuma pesa kwa marafiki na jamii.

Je:

 • Unaweka pesa zako zote mfukoni, kibetini au kabatini hadi wakati utakapozihitaji?
 • Unaomba pesa kwa wakopeshaji wadogo na kugharimia mkopo na mshahara wa siku za usoni?
 • Unalipa deni yako ukitumia huduma ya posta?
 • Hujalipa bili yako kwa kukosa wakati wa kwenda kulipa?
 • Unatuma pesa kwa marafiki na familia ukitumia huduma za posta au huduma zengine za pesa?

Kama umejibu ndio kwa swali lolote hapo, basi unahitaji kutunza pesa zako kwa njia bora zaidi.

 • Fungua akaunti ya benki. Tafuta benki itakayo kimu mahitaji yako.
 • Hakikisha hundi ya mshahara wako imelipwa moja kwa moja kwa benki au SACCO.
 • Weka pesa kwa benki hadi wakati utakapo ihitaji.
 • Tumia kadi ya ATM kutoa pesa kwa benki au SACCO.
 • Lipa bili ukitumia hundi au kupitia benki ya intaneti.
 • Usikope kwa wakopeshaji wadogo.
2
Average: 2 (2 votes)
Your rating: None