Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kupogoa

Ukaguzi wa baada ya kipindi fulani wa miti iliyopandwa upya unahitajika ili kuhakikisha ya kwamba ukuaji kutoka katika shina la mti haukui na kudhoofisha kitawishina. Hii ina uwezekano wa kutokea katika ukuaji katika mwaka wa kwanza. Ukuaji wote unaoanzia chini ya kipandikizi unafaa kutolewa pole pole.upogoaji mdogo wa miti michanga unafaa lakini sio wa kutoa matawi yaliyokufa na yanayokufa; unapotoa matawi kata kwa makini hadi kwenye mwanzo wa matawi bila ya kuacha kisiki. Rangi zingine za kupogoa ama lami inafaa kutumiwa juu ya sehemu iliyokatwa ili kulinda jeraha dhidi ya kuoza na kuhakiki uponaji mzuri. Uharibifu wa maua ya miti mipya iliyopandikizwa haswa ile ya aina ya Julie unashauriwa kama njia ya kumaliza ukandamizaji.

0
No votes yet
Your rating: None