Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Uzalishaji

Maembe huzalishwa vegetatively na kwa mbegu.Mimea inayotoka kwa mbegu hotofautiana katika tabia mazao za ukuaaji,uhimili wa magonjwa na tabia za matunda. Hizi hutoa miche yenye nguvu na nyenzo nzuri za kuzalisha mimea ya kupandikizwa. Nyingi za aina zinazotamaniwa huzalishwa kowa kupandikizwa na kizizi mbegu. Kipandikizi cha side-veneer ni mbinu ya kawaida inayotumiwa lakini kizizi mbegu cha kibanzi na ngao pia hutumiwa.

Miti iliyopandikizwa itaanza kuzalisha matunda miaka 3 hadi 4 baada ya kupandwa na mazao ya hadi bushel 3 hadi 5(ibs 174 hadi 290.) yanaweza kutarajiwa kutoka kwa miti iliyokomaa. Uzalishaji wa kutumia vipande na tawi linalokua ambalo limetolewa maganda na sehemu hiyo kufungwa ndani ya mboji kuamsha ukuaji wa mizizi umeripotiwa lakini ni nadra na hutumiwa sana. Hivi karibuni mafanikio mazuri ya tawi linalokua ambalo limetolewa maganda na sehemu hiyo kufungwa ndani ya mboji kuamsha ukuaji wa mizizi ukitumia asilimia 2 ya lahamu ya NAA Lanolin

0
No votes yet
Your rating: None