Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Aina za Mikopo

Mkopo-hususan kadi ya mkopo, huwa bora zaidi kuliko pesa taslimu, pia huwa bora wakati wa dharura. Vile vile unaweza kutumia kwa ununuzi mdogo na mkubwa. Wakati mwingine unastahili kulipa pesa zote taslimu kwa muda wa siku 30. Lakini, hurudishwa kwa muda mrefu.

Watu wengi hutumia mkopo kama upanuzi wa akaunti zao za benki ili kukidhi njia za maslahi yao. Ingawa ni njia moja kubalifu, ambayo nisehemu ya utamaduni, kutumia mkopo kwa nija hii ni kitu kibaya utakachofanya katika historia yako ya kifedha. Mkopo upo kwa njia nyingi ilivyobainishwa hapa chini.

Hii ndio njia moja maarufu ya mkopo na wakati mwingi huwaingiza watu taabani. Hesabu za duka ppia ni kodi za mkopo. Kodi za mkopo huweza kutumiwa kama pesa za ziada kununua vitu usivyoweza kugharamia kama nguo, televisheni, mapambo, vyakula vya jioni, matembezini, na zawadi. Kulipwa baadaye au kutolipa kabisa kutahasibu ripoti yako ya mkopo. Kama huna pesa za kulipia kitu fulani, usiitishe pesa ila tu urudishe papo hapo.

Ununuzi wa bidhaa kwa malipo ya polepole.
Mfululizo mwingi kama michezo na maduka mengi ya samani (vifaa vya mbao) toleo la ununuzi wa malipo ya polepole, hususan vifaa vikubwa vikubwa kama televisheni na vingine vingi vya matumizi ya nyumbani. Ni heri kuwekeza ili kununua kwa pesa taslimu lakini kama unahijaji kufanya ununuzi wa malipo ya polepole, kumbuka kwamba hata ukipata kifaa hicho nyumbani si chako. Mpaka pale utakapomaliza kukilipia. Iwapo umelipa nusu na huwezi kuendela kulip utapoteza bidhaa yako pamoja na pesa ambazo tayari umelipa. Kumbuka kwamba utalipa zaidi katika aina hii ya ununuzi. Kinyume na ununuzi kwa pesa taslimu kikamilifu.

Kulipia bidhaa polepole na kukichukua baada ya malipo ya mwisho.
Maduka mengi, hususan yale ya nguo, hukuruhusu kulipa fedha pole pole na baadaye wakupe bidhaa yako. Unaweza kulipa malipo ya mwanzo na mkubaliane ulipe zitakazosalia kwa wakati fulani. Huchukui bidhaa nyumbani ilicholipia kwa njia ya kikamilifu. Hili huweza kuwa hatari, hususan usipoweka pesa nyingi katika bajeti yako. Hata hivyo; iinaweza kutumiwa kama unahitaji koti mpya au bidhaa ghali kidogo na ujue kwamba utagharimu kilipia kwa miezi fulani.

0
No votes yet
Your rating: None