Hapa vipo vidokezo 6 muhimu vitakavyokusaidia kusimamia mkopo wako.
- Lipa salio lako kikamilifu kila mwezi
- Lipa wakati unaofaa
- Pitia maelezo yako ya mkopo kila mwezi
- Fanya ununuzi murua kwa kutumia kadi ya mkopo
- Dumisha kiwango “cha chini kati ya madeni na mapato”
- Usitume maombi kwa mikopo mingi au kodi za mkopo
Lipa salio lako kikamilifu kila mwezi
Kama huwezi; lipa angalau nusu kama utalipa kido utazidi kulipa pesa nyiingi kuliko zile uulizo kopa. Na iwapo huwezi kulipa zile unatakiwa kulipa, hutaifuatilia bajeti yako.
Lipa kwa wakati unaofaa
Iwapo unalipa kwa wakati unaofaa, utajenga mkopo safi na kuepuka gharama ya juu ya malipo. Kama utalipa bili yako mapema pindi tu unapopata pesa, pia utaepuka kiwango cha malipo ya ziada. Baadhi ya kampuni hutoza malipo ya ziada juu unapolipa ukichelewa, juu ya kiwango cha malipo yanastahili.
Pitia maelezo yako ya mapato ya kila mwezi
Hakikisha unalipia unachokitumia. Kama kutatokea kitu kisicho sawa na kubainika wala kufahamika, kampuni yako ya kodi ya mkopo papo hapo.
Fanya ununuzi murua kwa kutumia kodi ya mkopo
Jairbu kupata kadi ya mkopo ikiwa na faida ya asilimia 15% au chini yhake. Kiwango hicho kinapokuwa juu ndivyo malipo yanapokuwa ya juu. Jaribu kupata kadi ya mkopo isiyokuwa ya kila mwaka.
Dumisha kiwango cha chini kati ya “madeni na mkopo”
Hakikisha unachukua mkopo utakaomudu kulipa. Mapata yanapokuwa juu, madeni yako nayo huwa juu. Kama umetuma ombi kwa mkopo wa gari au mkopo wa nyumbani? Watoaji wa pesa huangalia kiwango hiki kuona kama unaweza kulipa bili yako huku pesa zikisalia kila