Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Gharama Na Faida Za Kuchukua Mkopo

Student Loan Application

Ni yapi manufaa ya kupata mkopo?
Mkopo hukupa pesa unazoziitaji kulipia vitu kama nyumba, gari, elimu ya juu, au ukarabati wa nyumbani wakati unapokosa pesa taslimu za kununua. Watu wengi hawamudu ketekeleza haya bila mkopo.

Ni ipi gharama ya kupata mkopo?
Gharama ya mkopo hutathminiwa katika msingi wa kiasi cha riba kinachotolewa na wakopeshaji na muda itachukua kulipa. Zaidi ya riba, mkopeshaji anaweza kutoza ada nyingine kwenye ombi lako mkopo kama vile ada ya kushughulikia ombi lako na uchunguzi wa ripoti yako ya mkopo.

4
Average: 4 (1 vote)
Your rating: None