Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Katika sehemu hii

Nitapata mkopo wapi?

Tafuta benki au SACCO inayotoa mkopo kwa ada au riba ndogo. Kumbuka kutafuta mkopo ulio na asilimia ndogo ya riba kila mwaka. Benki na SACCO ndio njia mwafaka na zenye gharama bora kupata mkopo. Kama unahitaji mkopo wa muda mfupi na hutaki kuweka dhamana, unaweza kupata mkopo huo kutoka kwa wakopeshaji fedha wadogo wadogo.

2.166665
Average: 2.2 (6 votes)
Your rating: None