Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Je u tayari kupata mkopo?

Zaidi ya hayo, hakikisha unahitaji mkopo. Kurudisha pesa za mkopo humaanisha kwamba utalipa zaidi kuliko kiasi ulichokopa, kwa hivyo hakikisha unahitaji pesa.

Benki zinataka kupata pesa zao pamoja na ada kwa hivyo benki zipo macho/makini sana. Huwapa mkopo watu walio na mapato imara na ambao wanaweza kusimamia mkopo katika siku zilizopita na pia sababu nzuri ya kuhitaji mkopo huo. Orodha hii yaweza kukusaidia kuona kama u tayari kupata mkopo.

Orodha sahihi ya kutatamini mkopo wako:

  • Je, una sababu nzuri ya kukopa pesa?
  • Je, una mapato imara na kazi iliyoimarika kwa karibu miaka miwili?
  • Je, unalipa bili zako kwa wakati unaofaa kabla ya makataha (tarehe ya mwisho)?
  • Je, una madeni madogo?
  • Kama una deni la benki, je, ilitokea mwaka mitatu iliyopita?
  • Je, una bajeti inayoashiria anachotakikana kulipia mkopo?
  • Je, una akiba au mali yako yanaweza kusimamia mkopo?

Hustahili kutimiza yote katika orodha hii, lakini unapokuwa na nyingi, una nafasi nzuri ya kupata mkopo.

2.8
Average: 2.8 (5 votes)
Your rating: None