Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Wakopeshaji Wadogo Wadogo

Hawa wamekuwa na habari mbaya, lakini hutoa huduma nzuri katika kukua kwa uchumi. Hutoa kiasi kidogo cha mkopo kwa watu wasiokuwa na rehani. Unaweza kupata pesa haraka sana unapoziitaji. Hii ndio shida moja ya watoaji mkopo hawa wadogo wadogo – watu hukopa kwa ajili ya kununua vitu vipya na kumalizia madeni.

Kukopa pesa kutoka kwa wakopeshaji hawa ni ghali hii ni kwa sababu hawana usalama wa kutosha iliiyo kwenye benki. Ada yao ipo juu. Kabla hujaenda kwa mkopeshaji mdogo yatakikana ufikirie kwanza kama kweli wazihitaji hizo pesa na itakuchukua muda gani kuilipa

 

0
No votes yet
Your rating: None