Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Ng’ombe wa Guernsey

Guernsey

Ng’ombe wa Guernsey huwa na rangi ya hudhurungi.Wana ukubwa wa wastani na kwa kawaida huwa na uzito wa kilogramu 400.

Huzalisha lita 25 za maziwa kila siku na yenye kiwango cha siagi cha 4.3%.Wanahiitaji kilogramu 65-85 za chakula kibichi kila siku.Wanahitaji maji mengi ya hadi lita 40 ya maji safi  kila siku.

 

3
Average: 3 (3 votes)
Your rating: None