Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Ng’ombe wa Zebu

Zebu

Asili ya ng’ombe wa Zebu ni India lakini hivi sasa tuna Zebu wa Afrika ya Mashariki.Ni mdogo na uzani wa kilogramu 250-300.Huwa na rangi tofauti lakini kitu kilichojitokeza wazi ni nundu yake kubwa.

Hufugwa kwa ajili ya nyama na maziwa lakini utoaji wake wa maziwa ni wa chini sana.Maasai wa Kenya na Tanzania hufuga makundi makubwa ya ng’ombe wa Zebu. 

Ng’ombe wa Zebu huwa Sugu na wanaweza kustahimili katika mazingira magumu.Hufugwa sana sana katika savannah iliyokauka nchini Kenya na Tanzania.Huchelewa kukomaa na hili huchelewesha ukuaji wa kundi.

 

0
No votes yet
Your rating: None