Ng’ombe ataonyesha dalili zifuatazo kabla ya kujifungua:-
- Kiwele kilicho imara
- Ukosefu wa hamu ya kula na kutotulia
- Tupu iliyoongezeka ukubwa(tupu ni ogani ya nje ya uzazi katika ng’ombe)
- Maji maangavu yanayotoka kwenye tupu.
- Kutulia kwa misuli katika pande zote za mkia