Demokrasia ni kutoa athari kote ulimwenguni!Angalia jinsi demokrasia imewahamasisha watu kutunga hadithi kuhusu ni nini demokrasia inamaanisha kwao.Shindano la video kuhusu demokrasia liliwatia watu moyo kote ulimwenguni kujadili ni nini demokrasia inamaanisha kwao na kwa jamii zao.Washindani waliulizwa kumaliza sentensi, “Demokrasia ni …”katika kanda fupi ya video na kuiweka kwenye Youtube ili ulimwengu uone!Filamu iliyoko hapo juu ni moja kati ya 18 za washindani wa fainali wanaoshindania zawadi kuu na ilitengenezwa na mtengenezaji filamu nchini Ethiopia/Uhabeshi.Kanda hio ya video imetajwa kuwa mshindi wa mwaka wa 2010.Ili kuangalia nini alichokishinda na kutazama washindi wengine wa ulimwengu,tembelea: