KenyaBadilisha
Kuweka akiba ni jambo la muda mfupi. Kuwekeza huchukua muda mrefu.
Kuwekeza ni mbinu ya muda mrefu ya kutengeneza pesa. Ni moja wa njia nzuri za kulipia vitu siku za usoni. Kwa nini ni muhimu kuwekeza. Ni kwa sababu huu unaweza kuwa mpango kabambe wa fedha ambao unaweza kukusaidia kulipia vitu vikubwa na vya bei kali kama vile nyumba au malengo yanayogharimu pesa nyingi kama elimu.
Katika sehemu hii utajifundisha: