Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kustaafu

Anza mpangilo wa kustaafu ili ufurahie miaka yako ya kustaafu

Je, unajua unahitaji asilimia sabini (70%) ya mapato uliyokuwa ukipata kabla ya kustaafu  ili maisha yako ya kustaafu iwe bila shwari?

Kabla hujaanza kufikiria kuhusu likizo ndefu na burudani, hakikisha pesa za mahitaji ya kila siku zinatosha; kodi ya nyumba, chakula, mavazi, huduma za afya na mengineyo. Ni vyema kuweka mipango inayofaa na utafakari unachotaka katika maisha yako ya kustaafu.

Kuanza mapema ni muhimu. Lakini hata kama unaanza umechelewa, bado waweza kuweka akiba ya kutosha. La muhimu ni kuwa mwerevu. Tilia maanani hesabu ya gharama ya maisha mahali utakapo kwenda kushi baada ya kustaafu, mali uliyonayo kama vile thamani ya nyumba yako.  

Kwa Mzinga, kuna mengi kuhusu maisha ya kustaafu. Soma kuhusu mipango kabambe na njia tofauti zakukuwezesha kuishi maisha ya afya na raha ukistaafu.

Uko tayari kujua?

MAPENDEKEZO YA MHARIRI

Anza kujipanga leo: Vidokezo vya kukusaidia kupangia kustaafu

 

 

 

0
No votes yet
Your rating: None