Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Ulipaji Wa Bili Na Ushuru

Haya ni mambo mawili ambayo wengi hawapendi kufikiria. Lakini unavyojua zaidi kuhusu ulipaji wa bili na ushuru ndivyo itakuwa rahisi kuyashughulikia. Hiyvo basi, tutakuonyesha jinsi unavyoweza baki na pesa nyingi mfukoni mwako kwa kulipa bili na ushuru ifaavyo.

Kulipa bili na ada ya kuchelewa
Kulipa bili kwa wakati unaofaa utakuwezesha kuhifadhi pesa nyingi.

Vidokezo vya ulipaji wa bili
Njia za kufanya ullipaji wa bili uwe raha.

Ulipaji wa Ushuru (na kudai pesa) ni rahisi
Ona jinsi unavyoweza hesabu ushuru wako na pia kurudishiwa pesa zako kutoka kwa Kenya Revenue Authority (KRA).

0
No votes yet
Your rating: None