Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Madawa na Maelezo ya Matibabu

Unachoweka kwenye rafu ya dawa zako hutegemea na mahitaji ya wanafamilia yako. Madawa, tiba za kienyeji na maelezo kuhusu matumizi ya dawa yatakuweka kwenye afya nzuri. Chaweza pia kukusaidia unapokuwa mgonjwa, unapoumia ama unaposhikwa na magonjwa makubwa.

Katika sehemu hii, unaweza kujifunza kuhusu madawa ambayo unaweza kununua kwenye duka la madawa au mahali popote pale zinapouzwa. Pia kuna dawa unazoweza kupata kutoka kwa daktari au muhudumu wa kiafya. Jifunze kusoma vibandiko na maelezo. Ulizia ujue yanayokufaa kuwekwa na yale ambayo unastahili kuyarusha. Pia unaweza kujifunza kuhusu tiba ya kienyeji na vitamini.  
2
Average: 2 (2 votes)
Your rating: None