Je, wahitaji miwani ili kuona vitu vilivyo mbali au karibu? Labda unahitaji miwani. Kwa
matumizi hayo yote mawili. Lakini hata kama unahitaji au hauhitaji miwani, lazima
uende ufanyiwe uchunguzi mara kwa mara moja au mbili kwa mwaka.
Watu ambao huenda wakaathiriwa na ugonjwa wa macho, lazima wafanyiwe uchunguzi
mara kwa mara. Mfano; watu wazima wanaougua ugongwa wa kisukari wafanyiwe
uchunguzi aghalau mara moja kwa mwaka. Watu wenye kutoka familia zenye historia ya
ugonjwa wa macho au jeraha ya macho wapate uchunguzi marakwa mara.
Dalili/Ishara zinzoonyesha kuwa unajitaji miwani.
- Wakengeza ili kuona vitu
- Vitu huonekana ‘blurry’
- Lazima usome maandishi yakiwa mbali au karibu sana na macho yako
- Wapaswa kufanya mambo yafuatayo ukihitaji miwani:
- Nenda kwa daktari upate miwani; baada ya kufanyiwa uchunguzi na kubainisha miwani unayohitaji
- Pimwa kutokana na magonjwa yafuatayo, glaucoma “cataracts na magonjwa mengine ya macho
- Fanya utafiti kama waweza kununua miwani kwa bei nafuu kupitia kwa “Medicare” au malipa ya bima. Jadiliana na daktari wako kuhusu mbinu ya kuweka akiba
- Jifunze mengi kuhusu magonjwa ya macho
- Jifunze mengi kuhusu glaucoma
- Jifunze mengi kuhusu ‘cataracts’