Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Usaidizi wa mazoezi ya ziada

Kumsaidia mtoto wako kufanya vyema shuleni, ni muhimu kujiingiza katika elimu yao na maisha yao. Sehemu hii itakuonyesha vile utakavyotenga nafasi ya mazoezi ya ziada katika nyumba yako, jifunze vile utakavyofanya mazoezi ya ziada kufurahia na upate mawaidha kuwa na mtazamo halisi kuhusu kazi za ziada.

Mtazamo halisi
Wazazi wanahitaji kuwa na mtazamo halisi kuhusiana na shule na kazi za ziada. Pata ushauri kwa vile utakavyo msaidia mtoto wako kufaulu shuleni na kwingineko.

Msaada wa mtandao kwa wazazi
Pata usaidizi zaidi kwa kuwasaidia watoto wako katika kazi za ziada ili waweze kufaulu shuleni.

Vidokezo vya kusaindia kazi ya ziada
Jifunze kuhusu vitu muhimu uhakikishe watoto wako wanamaliza kazi za ziada
 

0
No votes yet
Your rating: None