Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kuchagua mahali pa kusomea

Jambo la kwanza unahitaji kufikiria ni kuhusu aina ya kazi unayoiazimia. Halafu tafuta kama unahitaji maafikio yoyote yakuhitimu kwa hiyo kazi. Kwa mfano, ukitaka kuwa mwalimu, unahitaji shahada, diploma ama cheti. Unahitaji kufikiria kama utasoma mfululizo au kwa wakati, ama masomo ya mbali inaweza kuwa sawa kwako.

Pia unahitajika kufikiria kuhusu maeneo utakayosomea – Je unahitaji kuishi na wazazi wako ukiwa unasoma ili uhifadhi gharama Basi unahitaji kutafuta taasisi iliyo karibu na nyumbani.

Baadhi ya masomo hupatikana katika taasisi maalum zisizo karibu na pale unaishi. Basi itakubidi kwenda kuishi humo ikiwa hiyo ndiyo kosi ungetaka kufanya.

 

 

2
Average: 2 (4 votes)
Your rating: None