Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kuanza kazi mpya

Zingatia usafiri: Kupanga jinsi ya kutoka kazini ni muhimu sana.

Soma daftari la wanyikazi: Kabla hujaanza kutenda kazi, hakikisha umejua sheria, yakiwemo mavazi ya kuvaliwa kazini na ujue ni likizo ngapi unastahili kupata.

Tia sahihi mpango wa matibabu na hazina ya uzeeni au malipo ya mgao: Aghalabu, itachukua siku 30 - 90 kabla mpango wako wa matibabu kuingia, kwa hivyo tia sahihi kwa ajili ya mpango wa kampuni (Kama unafaulu) haraka iwezekanavyo.

0
No votes yet
Your rating: None