Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Kituo cha mfanyi biashara

Tumia kituo cha mfanyi biashara kujifunza unachohitaji kujua ili uboreshae biashara yako – kama huu ndio wakati unaanza au unataka kuleta wawekezaji wapya ili kupanua biashara yako.

Anza biashara yako
Ungetaka kuwa bosi wako? Iangalie sehemu hii. Utajua kama kumiliki biashara yako kunakufaa. Pia utapata habari ambayo inaweza badilisha doto yako ikawa kweli.

Imarisha biashara yako
Ikiwa una biashara yako sasa, jaribu iwezekanavyo ikue. Jifunze jinsi ya kuuza biashara yako na jinsi ya kutumia intaneti kuipanua.

Pata pesa zaidi
Hakikisha pesa ya matumizi iko. Ikiwa unahitaji pesa zaidi kwa biashara yako na hujui pale utakayo ipata, katika sehemu hii, pata usaidizi.

Dhibiti biashara yako
Hata ikiwa biashara inaendeshwa vilivyo, bado unahitaji usaidizi. Sehemu hii inakuonyesha vile unavyoweza dhibiti biashara yako kwa kuajiri wafanyi kazi waliohitimu, kung’ang’na na shida za upanuzi na kuwekeza pesa zako kwa busara.