Skip to Secondary Navigation Skip to Main Content

Current Domain

Languages

Anzisha bishiara yako

anzisha biashara yako

Tengeneza ratiba ya biashara
Jifunze kwa nini ni muhimu kutengeneza ratiba ya biashara kabla hujaanzisha biashara yako na mfuatilio wa kuiandika.

Jenga uhusiano wa kudumu
Uhusiano mzuri na wakudumu ni muhimu katika biashara ndogo.

Tia makini jinsi hisia zako zinabadilika
Ni muhimu kama mfanyi biashara mdogo kila wakati uwe unafikiria jinsi utakavyojiboresha.

Patia kipaumbelele yaliyo muhimu
Fikiria yale yote ungetaka kutimiza halafu chagua lililo muhimu.

Kusonga kutoka kwa wasiojulikana mpaka kwa wanaolulikana
Badilisha biashara yako iwe kubwa zaidi.

Ongezea pesa za matumizi
Kuwa na pesa nyingi za kutumia ni muhimu katika kukuza na kuboresha biashara ndogo.

Je, unafaa kuwa na biashara yako?
Katika sehemu hii, jifunze kama unafaa kuwa na biashara yako.

Kuwa mkakamavu na mwenye hisia dhahiri
Uwezo wako wa kuonyesha umahiri katika biashara yako waweza kuleta mabadiliko makubwa.

Jua uwezo wako
Sio kila mtu anayeweza kuendeleza biashara. Jifunze kama ni dhahiri kwako.

Jipange
Kuendeleza biashara inayonawiri kunahitaji uwe na mpangilio mwanana katika maisha yako ya nyumbani naya kazini.

0
No votes yet
Your rating: None