KenyaBadilisha
Wizara ya kilimo inapendekeza wakulima kuzingatia kazi yao kama biashara pale wanaweka mpangilio wa pesa watakazo wekeza na faida watakayo tarajia. Benki na mashirika ya kifedha hufadhili wale ambao wanampangilio unaoweza kuleta faida.
Katika sehemu hii, utaelezwa unakoweza kutafuta usaidizi wa kifedha wa kuendeleza biashara yako ya kilimo.